Selfika na JF: Snap it. Show it

Seran nikisema I waz kimodo namaanisha,, hii ya mwisho kwa leo,, nyingine nitakutumia PM🤣🤣🤣 hapa nilikuaga nakulaa mno kama kale ka katoto ka "ze shooz"
Aww mtoto mguu😍

Kale ze shuuz kanakula jamani, siku moja nimeangalia vlog ya paula kalichafua meza🫢 ubaya wa kuwa mwembamba na kula sana unaishia kutoa vitu vinene tu msalani😀
 
Kuna watu wanaona kuwa na trako ni kuonekana mshangazi....
Yaani yote kwa yote mi kama maji kwa ninavyopenda mishangazi ukinikwepa kwa kuficha Tako.
Utanikuta kwenye Tumbo
Ukinikosa huko
Utanikuta kwenye Titi

Hapo unapata maana ya mshangazi ni T3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…