Tena hapo nimekuhurumia sana , navaa raba la milioni tatuBwahahaa, Nasubiri raba za laki saba๐คธ๐ฝโโ๏ธ
Wape kispot halafu ufute๐๐Are you sure??
Tunasubiri outfits za madolaree๐Maaake hapo kwanza nicheke ๐ ๐ ๐
Wee usinipe kesi, ukiwa sober uanze kulaani jianike mwenyewe๐คWape kispot halafu ufute๐๐
Hahaha najiamini ujue๐๐๐Wee usinipe kesi, ukiwa sober uanze kulaani jianike mwenyewe๐ค
Unanunua raba 3m unashindwa kutoa robo yake ukatuma pm๐ซขTena hapo nimekuhurumia sana , navaa raba la milioni tatu
Umejuaje?Unanunua raba 3m unashindwa kutoa robo yake ukatuma pm๐ซข
Hapo sasa, ngoja nikae pale pembeni, nifuatilie kwa umakini ๐Unanunua raba 3m unashindwa kutoa robo yake ukatuma pm๐ซข
Hahaha kaone๐Hapo sasa, ngoja nikae pale pembeni, nifuatilie kwa umakini ๐
SijaonaUmejuaje?
Pombe zinasaidia sana kijana anafunguka๐คธ๐ฝโโ๏ธ๐Hapo sasa, ngoja nikae pale pembeni, nifuatilie kwa umakini ๐
Nenda katoe robo ya pesa ya raba Mangi ๐ ๐Hahaha kaone๐
Achangamke kabla pombe hazijakata๐Nenda katoe robo ya pesa ya raba Mangi ๐ ๐
Fasta sana ๐ women's day inoge!Achangamke kabla pombe hazijakata๐
Ngoja atoke location, naona kaenda kujisnap kwanza๐Fasta sana ๐ women's day inoge!
Haha wew unaniita mangi kavu kavu wenzio wananiita mangi mtamu ๐๐๐Nenda katoe robo ya pesa ya raba Mangi ๐ ๐
Kina nani hao๐Haha wew unaniita mangi kavu kavu wenzio wananiita mangi mtamu ๐๐๐