comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,354
- 16,963
Minaona njemba tuu zinapost picha za wanawake, ndio mana nasema wanawake jf hawazidi wa5.Huwezi kuona kwa macho ya nyamaπ
Wapoo we ishi humu mida ya wanga utaona totoz za kutosha kijanaπMinaona njemba tuu zinapost picha za wanawake, ndio mana nasema wanawake jf hawazidi wa5.
Wewe mwenyewe washawahi kusema mwanamke kumbe njembaWapoo we ishi humu mida ya wanga utaona totoz za kutosha kijanaπ
Si ujinga wao! Ukiwambia una makendre wanajizima data watajua hawajuiπ€£ππ½ββοΈWewe mwenyewe washawahi kusema mwanamke kumbe njemba
Brother unyama uzembe,
nimeumia mtu katuma picha kwa upendo kabisa kwa ba mtu,, ba mtu nae akili za panzi kaenda kumsimulia rafiki ake na evidensi juuπͺππππ si bora asingetuma ushahidiπ₯΄π€Kinakuliza nini na uke si wako ma mkaliπ acha tujionee vihoja, tufiche nyuchi zetu kama lesson! Kuanikwa selfika ni kugusaπ
Mamtu katuma picha kwa mteja! Bora angetuma kwa mpenzi wake kuliko kujiaibisha hiviπ€nimeumia mtu katuma picha kwa upendo kabisa kwa ba mtu,, ba mtu nae akili za panzi kaenda kumsimulia rafiki ake na evidensi juuπͺππππ si bora asingetuma ushahidiπ₯΄π€
je kama walikua wapenzi ila ba mtu kamgeuka na kumuita muuza K?π wanaume wa jihefu ni watu wa kuogopaaπ π π€Mamtu katuma picha kwa mteja! Bora angetuma kwa mpenzi wake kuliko kujiaibisha hiviπ€
Ndio shida ya kulala na vijana wadogo! Ona sasaπ±
watu hawaangalii kama tupo kwenye mfungo wanamwaga radhi kama hawana akiliππ€Dahπ
Ndio muache kujihusisha kwenye mahusiano na wavulanawatu hawaangalii kama tupo kwenye mfungo wanamwaga radhi kama hawana akiliππ€
nimekoma mimi nimekomaππ πNdio muache kujihusisha kwenye mahusiano na wavulana
Kumbe tena kunakugeukwa na bamtu na kuitwa muuze ukeππππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈje kama walikua wapenzi ila ba mtu kamgeuka na kumuita muuza K?π wanaume wa jihefu ni watu wa kuogopaaπ π π€
Nimepata njaa tena babuππSiku hizi hakuna kufunga bali kuna kushinda bila kula,πView attachment 3547270
napenda sana makongoro ila nikila huwa nahisi kichefu chefu sijui kwaniniπ₯Siku hizi hakuna kufunga bali kuna kushinda bila kula,πView attachment 3547270
si ndio,, Kwani mfano hauja uona kwenye deleted potoπ π πKumbe tena kunakugeukwa na bamtu na kuitwa muuze ukeππππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈ
Miguu ya ng'ombe.napenda sana makongoro ila nikila huwa nahisi kichefu chefu sijui kwaniniπ₯