Am watching you[emoji848]Hilo group limetokana na jf?
Nikiri tu kuwa huu uzi wako umenihamasisha sema tu ndio hivyo tena, hawa ndugu zangu ma-bachelor wasipoufanyia kazi huu uzi basi tena, there's no other way to help them.
Kuna wadada kwa "mwandiko na muonekano" tu una-fall kizembe tu na kama ni kujuta si baadae huko!![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa, lete hiyo hiyo moja teh
Chukua shangazi kaja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu nibebe mfuko mbadala?
Sawa tu mama.Chukua shangazi kaja
Ntadamkia hapoSawa tu mama.
Kesho nikukute pale samaki samaki.
[emoji123][emoji123]I miss you!!Am watching you[emoji848]
Ukuona huwezi unamuuliza; hivi nanilii si unakunywaga serengeti light?[emoji848][emoji144]nakimbia bili
[emoji23][emoji23][emoji23]bachelor sugu watoto wako shule.. Mama zao wako kwao[emoji124][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
Mkwe ati wawaza kitu gani?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Mkwe mi nakupa ofa ya kuniona laivu nikileta sanduku ya vitenge sio kwenye mapicha picha...Si ndio nashangaa unanifanyiaje mambo meusi hivi[emoji134][emoji134][emoji134]
Hebu fanya mpango tupate ka link mwenyekitiOut of topic... Nimesoma mahali hapa JF kwamba huko kwingine kuna groups za WhatsApp maarufu sana.. Na mojawapo linaitwa The Vault... Nasikia hili ni noma kwa mambo ya kikubwa
Mdada fungi gani wanakuandama tena?Periodt!!
Hawachi nimechat na picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1286776
Kama Instagram vile...Ina a bunch of videos. But a lil more interesting than insta honestly navyoiona.
U don't even need to register wala nini
Hiyo mifuko naitafuta sanaChukua shangazi kaja
Try it outAiseee
Hiyo mifuko naitafuta sana
Try it out
Wea iz zis?
Darusalama kwa mda. Nikipata ile size kubwa nitafurahiUko wapi mpendwa? Ilikuwa mingi sana (lately sijaitafuta so sijui kama imepungua sokoni)