Hebu MimiππMkono tuu ππ umetupunja
Shangazi niko lele lele.Weuuwwweππ,. Hatimaye na Mimi nimepata shangazi
Ngoja Kesho likiwaka jua nifanye maajabuππ€ΈLee wewe huwa unatupunja sana...
Unatupiga kalenda kama CCMNgoja Kesho likiwaka jua nifanye maajabuππ€Έ
Abroad ya NjombeππHapa bila shaka ni abroad
Karibu nyumbani shangazi,. Wenyewe tuko yente yente kukupokea π€ΈShangazi niko lele lele.
Hiyo cake ni nzuri nimeipenda. Cravings zimekick-in.
Hot enough to fry somebodyβs son!? πIt's so hot in here...
Hahaha Dah!πUnatupiga kalenda kama CCM
Huwa naimagine nikiishi na a baker, hivi si huwa mnafaidi sana zile anazotoa toa pembeni pembeni sijui zaitwajeβ¦. Kama kwenye wali ule ukoko πKaribu nyumbani shangazi,. Wenyewe tuko yente yente kukupokea
Wifi yako atakua anakutengenezea kila siku ni wewe Tu kumwambia umeamka na flavour gani kichwaniπ»π ( This woman can make you anything isipokua a human being)
Njombe gani hiyo mbona nzuri hivyo ?Abroad ya Njombeππ
Nikitupia naogopa Kuna mtu atanisema kitambi changu ππVincenzo Jr tajiri tupia
Njombe TownNjombe gani hiyo mbona nzuri hivyo ?
Sio Tu za pembeni,. Ukibaki mchanganyiko anawatengenezeeni vidogo vidogo vya kunywea na chai πππHuwa naimagine nikiishi na a baker, hivi si huwa mnafaidi sana zile anazotoa toa pembeni pembeni sijui zaitwajeβ¦. Kama kwenye wali ule ukoko π
Asante kwa kunikaribisha sangasi (kikwetu tunaitwa hivi)
Pako vizuri sanaaNjombe gani hiyo mbona nzuri hivyo ?
Aaiii nimeanza kulia navopenda plain cakes πSio Tu za pembeni,. Ukibaki mchanganyiko anawatengenezeeni vidogo vidogo vya kunywea na chai πππ
That pic definitely caught me off guard.Hot enough to fry somebodyβs son!? π
Ebu tuoneNikitupia naogopa Kuna mtu atanisema kitambi changu ππ
Labda kesho nikiwa zangu nachezea mchanga baharini ππEbu tuone