No basi umechanganya madesa ndiyo maana umekataa kuwa haujafanana na huyo kaka
Hilo tangazo linaonesha mkaka amekaa anafuatisha kuimba wimbo wa Drake wa "hotline bling" ule mstari unaosema "ever since I left the city you" hiyo "you" sauti ya mdada kwa pembeni ikamalizia kwa kuvuta halafu yule kaka akabaki anasmile tu