Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Udugu unafuatilia mtifuano wa Anko T na Giggy?
Full udambu udambu, mara nyampua niffer, mara masha manyonyo, full tafraniii.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Niko busy hii week udugu hata sijawafatilia, wanagombania nini tena? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Bei ya kufunga store, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mchina anafunga kiwanda ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Ila tutapigwa mjue nyie ๐Ÿคฃ

Anafata nyayo za babu snoop ๐Ÿซข
 
Tena hii wiki kumepoa kabisa nikitulia nikatafute kaburi la kufukua....haiwezekani kuwe na amani kiasi hiki
Tumewaachia sana wananenepeana ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Inatakiwa wawe na Pepsi pembeni za kushusha presha ๐Ÿคฃ
 
Niko busy hii week udugu hata sijawafatilia, wanagombania nini tena? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Em uende insta, ukajionee mtu na udugu wake wanavyotoleana ya sirini
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Em uende insta, ukajionee mtu na udugu wake wanavyotoleana ya sirini
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Noma sana ngoja nikawacheck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ