ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 16,787
- 61,256
Nzuri
Nzuri
Hiyo ni rangi yangu pendwaNzuri
UmeniigaHiyo ni rangi yangu pendwa
Tuone sura, tupo wenyewe wawili
Sura yangu haina shida kuona 😅 tatizo utaratibu wa selfika na jf nikujificha😅Tuone sura, tupo wenyewe wawili
Wasiwasi wako tuSura yangu haina shida kuona 😅 tatizo utaratibu wa selfika na jf nikujificha😅
Sina wasiwasi ephen 😅 kuna picha niliweka humu ikaja I'd hata sikuijua pm ikaniambia wewe ni flani ,nilishtuka sana😅Wasiwasi wako tu
Nimefika 😇
Selfika chapNimefika 😇
Si unajua utaratibu 😅 naselfika ukishapandisha sukari 🤣Selfika chap
Sina maajabu Ras
Nimetoka mbio nikajua picha yakoView attachment 3458964Mchumba nipo Mbeya Saint Anne
🙂
Umekuja pilau limeshaishaYako iko wapi Mangi?
Una minyoo Mwachi 😹