min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,452
- 127,868
Hahaha pesa mbele kama tai 🤣🤣Nimemuona 🙌
Hahaha pesa mbele kama tai 🤣🤣Nimemuona 🙌
Uzee mdogo wangu saivi muda mwingi nakua nalala. Imagine nahio nimepitwa tenaUnalala sana imagine nilipita naked
Ukipitwa imeisha hivyoHere kodo n standby 😳😳😳🙇🙇🙇🙇
Sitaki kupitwa
Hahaha mimi ni rasii now nimenyoa tuWeee Rasta umeanza fuga lini????
Sipepesi hata kopeer 😳🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇Ukipitwa imeisha hivyo
Hahaha nipendwe tu😅😅😅😅Napenda wanaume marasta😋😋😋😋🤭
Weee sema kweli????🤔🤔Hahaha mimi ni rasii now nimenyoa tu
Yani nawapenda mnooooooo. Kabla sijarrarra unikumbushe nikuoneshe mchuchu mmoko ni rasii mtraaammm kinoumaa 😁😁😁🤭🤭🤭🤭!Hahaha nipendwe tu😅😅😅😅
Chevy Tahoe au Suburban? Ya mwaka gani hiyo? Early 2,000s?Ya mlevi najizawadia siku ya graduu yangu😅😅
View attachment 3456599
Kaka wewe ni kibaka sana😅😅😅Chevy Tahoe au Suburban? Ya mwaka gani hiyo? Early 2,000s?
Hahaaaa ni kwamba tu hayo magari kila siku napishana nayo barabarani.Kaka wewe ni kibaka sana😅😅😅
😅 bro , hii chuma nimeichukua spesheli ya wana jf tu , ina uzi wake bwashee 😅😅😅 ngoja niifute🤣Hahaaaa no kwamba tu hayo magari kila siku napishana nayo barabarani.