Mhmmm sijaona kipenziπ₯²π₯²π₯²π₯²
acha basiπ€£Kwa sasa ni tiktok π€£π€£π€£
Sure tenaπ πacha basiπ€£
haya basi vizuri fanya kinachokupa furahaSure tenaπ π
shwari niajeesamaleko redπ€£π€£π€£
fresh kabisa ndugushwari niajee
Kwani Kuna mtu anakudai mnywani.Kesho kuna pilau kwa jirani mie niponipo tu mpaka saii sijui haka kakichwa kangu ntakafanyeje sina kiuno cha kukaa kusuka na seleka zitaanza mapema sana!
Lovelovie ephen_ min -me naombeni mwongozo pulllliiiiiiiizzzz!!!
Mtanibip kunijuza nifanyeje nimechoka narrarra mieeh!!
Kesho nayo siku wapendwa π€π€π€π€π΄π΄π΄π΄π΄π΄
Nipo unataka kupita
Ca vafresh kabisa ndugu
Sipiti ila nataka tuchatiNipo unataka kupita
Pokea salamu toka itobo- bukenefresh kabisa ndugu
Sawa RasSipiti ila nataka tuchati
salamu nimepokea ila kwanini ume-zichelewesha?Pokea salamu toka itobo- bukene
lugha gani hizi tenaCa va
frenchlugha gani hizi tena
aaah hiyo hapan mi nabaki zangu nalugha ya taifafrench
sema Ca va bien
πππ huyo bby wako mbn hatokeiaaah hiyo hapan mi nabaki zangu nalugha ya taifa