Ukitupia, na mie natupiaa uduguu. πππππΉπΉπΉ anza wewe kwanza mana unanidanganya kila siku..!!
Tupia namimi nitupieeeeeUkitupia, na mie natupiaa uduguu. ππππ
Hebu nitag kwenye huo uzi mwenzio nalea kwa sasa hata kushika simu uvivu dogo ni mliaji hatari π©πΉπΉπΉ
Nimeacha ss hivi nimeokoka wii..!!
Hivi uzi wa vayolensi uliupitia? Kiliwaka huko balaa..!! Sijakuona wii wangu nikajua unamuhudumia kaka uko busy π€£πΉπΉ
ππ mbona hakuna attachment
Aisee nimechukua leo ili niutafute wimbo wote...
Picha iko wapi?