Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna nini tena mnaniita nilikuwa nimelala...?
 
aiii tatizo huyo sumbai kachelewa kidog tuuu,, angewahi ningekuwa wake,,, kuhusu lamo huyu nammudu ni dada angu kutoka kwa mjomba 😆
Haha; uzuri hata nafasi ya udaka machozi Yako pia anaimudu sana.
Ukipigwa tukio, ukibotwa huko hutaki kua na mdaka machozi Yako.

Kama kitasa kipya Cha Simba maestro Hassan kante sumbai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…