Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha..........nitakushawishi ukatiki Kwa bucket 2 za beer 🤗

Hamuwezi kutuachia Wazee peke yetu ndiyo twende kutiki hiyo Oktoba 😜
Hahahaha ziwe bia za maana tu , sio local babu🤣
 
Mchezo wa vijora kutoka baada ya siku tatu kila siku afu tatu..!! 😹😹

Leteni majina nishushe mkeka 🤣

Mselfike na vijora pambe picha zinoge waungwana 😹🤣
Vijora ndio nini ? Nasikia kila siku ukiviuza🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…