Kuna watu posti zangu wanaona uwivu lomo🤣🤣🤣Za kuplay kwenye gari ili dereva nisisinzie nikawamwaga..!! 😹😹
Jibu pm 😁Kumbe hii picha yangu kali Atoto Leejay49 shibela Evelyn Salt ephen_ mawardat View attachment 3439282
Hatimaye Leo nimekufuma mlevi Wa JF sikuzote nakuta manyoya tu🤓🤓🤓🤓Kumbe hii picha yangu kali Atoto Leejay49 shibela Evelyn Salt ephen_ mawardat View attachment 3439282
Kaone 🤣🤣🤣 acha nijibu kawaidaJibu pm 😁
Haujanifuma nimekuita , na hapa nipo nalewa ,vibaya mno😅😅😅Hatimaye Leo nimekufuma mlevi Wa JF sikuzote nakuta manyoya tu🤓🤓🤓🤓
Upo!?Haya nipo hapa nasubiri 😅
Maneno yanaumba ujue,utakuja kulowea kwenye Pombe wazee wako waseme umerogwa!!Haujanifuma nimekuita , na hapa nipo nalewa ,vibaya mno😅😅😅
Pombe nakunywa toka mdogo na sijawahi kuwa limbukieni wa ulabuManeno yanaumba ujue,utakuja kulowea kwenye Pombe wazee wako waseme umerogwa!!
Kina nani?Kuna watu posti zangu wanaona uwivu lomo🤣🤣🤣
Asante kiongozi 😹😹Kwa nini uhitaji kuamini kwa imani, badala ya kujua kwa uhakika na uthibitisho?
Huitaji baba wa kiroho.
Baba yako mzazi aliyekuzaa anatosha.
Hivi hii imetengenezwa? sio official?
Ata sijaelewa siku somaMwachiluwi Evelyn Salt shibela hii ngoma mnaionaje ?
View: https://youtu.be/qr9-Pj3UCHk?si=C1pWsbyP5SgFH4ns