Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,020
- 41,396
Wekeni pichaaππππ aaah wapiii?!
Nikiona yako mimi nitafuatia π€£Wekeni pichaa
Mie zangu zimejaa telee humu.Wekeni pichaa
Mimi nipo chumbani hapa alone ngoja nichukuee konyagiiii ndogo niimalizie ndio nione kama naweza weka picha kama min_me na kufutaaNikiona yako mimi nitafuatia π€£
Uziii unatembea sanaa..Mimi nimetia kambi kama siku ya tatu Leo kwenye huu uziiiiMie zangu zimejaa telee humu.
Uongo πΉIko humu imejaa teleee. ππππ
Nakuona nakuona..Uongo πΉ
Udugu tupia nikuone ulivyobadilika baada ya kulamba ajira..!!
Nyama kilo moja unajua shingapi nkamu? πΉYaani una msimbazi unasema umechalala!
Wapi? πΉNakuona nakuona..
Kuna watu uliwapiga spana mpaka nikasema Jf ni home of great thinker ππππ
ππππ ajira itoke wapiii?Uongo πΉ
Udugu tupia nikuone ulivyobadilika baada ya kulamba ajira..!!
Wachaa wee? Bas kaa hapo niku bless.Uziii unatembea sanaa..Mimi nimetia kambi kama siku ya tatu Leo kwenye huu uziiii
πΉπΉπΉ Uchoyo hutaki dada ako nionje mshahara wa serikali..!!ππππ ajira itoke wapiii?
Ni kukimbizana na life tyuuh.
πππππ wee nichekee tyuuh, haya bhana.πΉπΉπΉ Uchoyo hutaki dada ako nionje mshahara wa serikali..!!
πππππ khaaah.Nakuona nakuona..
Kuna watu uliwapiga spana mpaka nikasema Jf ni home of great thinker ππππ
Lamony ni conshaz kinomaπππππ khaaah.
Hapo sasa, ππππππ€£π€£π€£ ila watu wanajikaushaga kimya ukitupia tu wanaibuka
πππππLamony ni conshaz kinoma