Weka bachiii na wewe ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ hapana kwa kweli
๐ watu wengi sana sahiiWeka bachiii na wewe ๐
Chanaaa nao we pita shwaaah..!! ๐น๐ watu wengi sana sahii
Andaeni sare harusi tunayo..! ๐น
Hapana siwezi kwa kweliChanaaa nao we pita shwaaah..!! ๐น
Loooh mahi we mbona umegoma kuweka ๐คฃYani we muongo sijaona khaaa!! ๐น
Em weka hao watu achana nao wa Bush hakuna hata mmoja anayekujuaโฆ!! ๐คฃ
Fikiria, hivi rangi ya mwaka ni ipi?Ngoja nianze kufikiria rangi nzuri ya sare
Hapo kwenye naked๐ ndipo napataka mimi, utanishitua tafadhali.Mi sio km upepo napita naked kabisaa..!! ๐น
Ila anza wewe kwanza mrembo..!!
Mtoto una balaa wewe ๐๐๐Loooh mahi we mbona umegoma kuweka ๐คฃ
Weka nawe ๐Hapana siwezi kwa kweli
Nyokooo wee utapofuka macho shauri yako..!! ๐น๐น๐นHapo kwenye naked ndipo napataka mimi, utanishitua tafadhali.
Tulia wewe, kipi cha ajabu hapo, tunapelekea ulimi ๐ , nini kupitisha jicho.Nyokooo wee utapofuka macho shauri yako..!! ๐น๐น๐น
Kwa kweli ngumuWeka nawe ๐
๐น๐น๐น Naweka tulia kwanza..!!Loooh mahi we mbona umegoma kuweka ๐คฃ
Ngoja nifuatilie๐Fikiria, hivi rangi ya mwaka ni ipi?
Harusi za mwaka huu zote sijakanyaga naishia kuchangia, nasikia uvivu kwenda..!!
๐ukianza naweza kufikiria kupita kama upepoMi sio km upepo napita naked kabisaa..!! ๐น
Ila anza wewe kwanza mrembo..!!
Siyo kweli bhana๐น๐น๐น Naweka tulia kwanza..!!
Tatizo mi kabaya jamani mtanisimanga nikufweee bure..!!
Udongo huo huo ulioumbiwa wewe mahii mzuri mzuri ๐ ๐ฅฐMtoto una balaa wewe ๐๐๐
Nyie wenzetu mlifinyangwa kwa udongo gani?
Mbona lizuri hivi ๐ฅฐ nyie ningekua na mkia wewe ungenikoma wallaq ๐น๐น