Muulize Mpaji Mungu πNingejua wa wapi tungeongea kilugha
Kibosho , marangu na kirombo vyote najuaMuulize Mpaji Mungu π
Tuongee tu Lugha ya Taifa ngoja nipite kama Upepo kaa karibuKibosho , marangu na kirombo vyote najua
NasubiriTuongee tu Lugha ya Taifa ngoja nipite kama Upepo kaa karibu
π kupita naked Ngumu ngoja nifanye jamboNasubiri
Kwa niniπ kupita naked Ngumu ngoja nifanye jambo
ππ sijawahi hata kupost ukucha humuKwa nini
Uzi upo trend ujue πππ sijawahi hata kupost ukucha humu
Nami naona nishaghairi kwanza ππ, watu wapo makini aisee π nitatupia siku nyingineUzi upo trend ujue π
Sawa hata mimi nasema usitupie tena βπNami naona nishaghairi kwanza ππ, watu wapo makini aisee π nitatupia siku nyingine
π Sawa sawaSawa hata mimi nasema usitupie tena βπ
Tutapita siku nyingine kivyetu vyetuπ Sawa sawa
π kwa kweli, sahii kuna watu kibao wanasubiri ujichanganyeTutapita siku nyingine kivyetu vyetu
Hii si shape yangu hii jamani umeipost ankal..!! π₯
Nimekubamba leo πππNiji selfieπ€ͺ
Binti wa zamani rudia hiyo selfie sikuwepo..!!Hapa kuna pesa mingi wachaga kwa kunusa tenaπ€£π€£π€£ ila wewe mrembo mno na kumbe kwel upo romantic hatariπππ
Eenheee umefika mamie π€£π€£π€£π€£π€£ hebu anza wewe kwanzaBinti wa zamani rudia hiyo selfie sikuwepo..!!
Weka nione basi uumbaji..!! πZingatia namna kitambi kinafichwa kwa nguvu zote π€£ π€£ π€£
πΉπΉπΉ nimefika weka mpicha huo nione mtraco wa kuvunja chaga, min me kasifia sana mpk kapata sababu ya kuimba pawa..!! π€£Eenheee umefika mamie π€£π€£π€£π€£π€£ hebu anza wewe kwanza
Chica nawe tupia nikuone onyinye ππ kwa kweli, sahii kuna watu kibao wanasubiri ujichanganye