Hahahahaha acha zako , unafikiri jf tunadanyika kirahisi😅 mimi ni mlevi na ni mlevi kwel hakuna mbambaaa , wewe toto tutusa kabisa , umenoma umeshamiri kinouma.Sasa huo uromantic umetokea wapi tena?
Nyuzi zangu huwa ni kujitoa ufahamu tu 🙈😂
Acha nisikilize tu, leo naona maneno yanakutoka Mangi 🤣🤣Hahahahaha acha zako , unafikiri jf tunadanyika kirahisi😅 mimi ni mlevi na ni mlevi kwel hakuna mbambaaa , wewe toto tutusa kabisa , umenoma umeshamiri kinouma.
Lini maneno hayajawahi nitoka mtoto mzuri 😊Acha nisikilize tu, leo naona maneno yanakutoka Mangi 🤣🤣
Ba mtu tafuta pesa bwashee 🤣Namna hiyo maMtu 😊 😊
Wewe umeselfika lini mtu wa Mungu mstaarabu 😅Selfikaaaaa
😅😅 mkuu hela haitafutwi, hela huwa inachukuliwa au sio maMtu Binti wa zamaniBa mtu tafuta pesa bwashee 🤣
🤣🤣🤣Aah kitambo snWewe umeselfika lini mtu wa Mungu mstaarabu 😅
Hauna maneno mengi mdhungu 😅Lini maneno hayajawahi nitoka mtoto mzuri 😊
Sitaki neno mdhungu ujue😅Hauna maneno mengi mdhungu 😅
Haya tukuitaje Bwasheee na Nyamwi alishatoa siri zako kwamba upo abroad 😅Sitaki neno mdhugu ujue😅
Uselfike sasa hata mimi kitambo sana I'd mpya isikupumbaze😅🤣🤣🤣Aah kitambo sn
Humu
Hahaha Jidanganyeni mnywa pombe sio mtu wa kumzingatia😅Haya tukuitaje Bwasheee na Nyamwi alishatoa siri zako kwamba upo abroad 😅
Kwamba umesharudi au 🤣🤣Hahaha Jidanganyeni mnywa pombe sio mtu wa kumzingatia
Hata sijawahi kufika ni pombe tu😅 karibu bia hapaKwamba umesharudi au 🤣🤣
Bia nizidi kupalilia kitambi, akuuuu!Hata sijawahi kufika ni pombe tu😅 karibu bia hapa
Mbona mimi sina ? Ni mazoezi na kuzingatia tu kanuni za afyaBia nizidi kupalilia kitambi, akuuuu!
Wewe si umetoka kusema asili yenu huko kwenu hamna miili mikubwa au?Mbona mimi sina ? Ni mazoezi na kuzingatia tu kanuni za afya
Ngoja kuchangamkeUselfike sasa hata mimi kitambo sana I'd mpya isikupumbaze😅