Ndugu
Mwachiluwi ni kweli Kuna bog linaendelea chini chini upande wenu ? Maana huku naona Kuna akina baba kanituma wameondoka Leo kwa kisigiri Cha Wana degree za cyber security embu nyoosha maelezo maana nina kijana wangu aishi kuniuliza ,Sasa shida milingoti yangu yote Sasa ni miambassador haina info ya Siri tena
Ubaya IPO mbali na Kijiji chetu pia
Ninyooshee mike