Moto ilikuwa ๐น๐น๐นKuna ile ya lipsi ya majuzikati
Igweeeeeeeeee ๐น๐นWewe ni special case!! Chino hana wa kukufananisha nae!!
Uandikage maurithi mapema usijetesa wajukuu zako na maugomvi ya mali.Nitajitahidi Kwa kweli, maana bado sijaandika hata urithi ๐
Wewe bando zenyewe za kutega mahotelini huku unawalia mingo wazungu ๐คฃ๐คฃWameishiwa bando zao za kupima
Tayari ushaanza kupata joto la mwezi? ๐น๐นKuna wale vichaa mtu na mkewe wote taahira.
Siku hizi nimeacha ukorofi, nikiliamsha humu hapatoshi.
Usipotee sana! Kina chino tusipokuona hatuwi sawa
Hahaha usijali kipenziBila shaka ndio unaniletea Uzi wangu og wa Liverpool
Live live lazima nikunyariMoto ilikuwa ๐น๐น๐น
Nkamu mbona hujanishtua ๐น๐นBila shaka ndio unaniletea Uzi wangu og wa Liverpool
Wapi hapa? Mixer kiarabu na english.
SomaliaWapi hapa? Mixer kiarabu na english.
Basi bibi wewe utapewa ile apartment yake ya masaki ๐น๐นUrithi wa bibi yako huo wewe utakuwa mpangaji๐
๐น๐น๐น chino nikikukuta mbinguni naenda motoniUsipotee sana! Kina chino tusipokuona hatuwi sawa
Chino tupia pic nikuone nataka kusepa ๐น๐นLive live lazima nikunyari
Ntaanzia wapi chino
Ouh hongera sana...Somalia
Wifi bado hujarudi
Jf watuwekee voice chat, mi leo niko hoi hata kutype najionea uvivu, msalimie babu G mwambie tutakutana ndotoniBasi bibi wewe utapewa ile apartment yake ya masaki ๐น๐น
Mi niache niambulie iko ki plot bas
๐น๐น๐น shangazi utamuweza??Mna furahisha sana kwani bwana si yuko nae ugomvi bado unaendelea tu