Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapo upate gahawa ya uvugu vugu flan hivi....

Kisha baadae Simara akuletee vitumbua
Hakika Mkuu, unapata gahawa unashushia na kashata wakati huo pembeni unavuta Kiko yako taratibu hivi πŸ€—

Umemtaja Mjukuu wangu Simara umefanya moyo wangu ububujike Kwa huzuni.

Ni miaka mingi tangu aseme anakwenda Mjini kuninunulia Kiko Babu yake

Ukimwona huko Mjini, mwambie Babu yake nimemkumbuka sana πŸ€—
 
We mzee na mahanjumant ni kama inspector Haroon babu mzee wa pamba nyepesi

Kila verse mmoja yake utasikia kashata laini laini maini rojo rojo
Eti kashata laini laini maini rojo rojo πŸ˜‚

Wazee huwatoi kwenye kula

Sisi wengine hadi tumeweka alarm ya kutuamsha kula usiku πŸ˜œπŸ™Œ
 
🀣🀣🀣🀣🀣

Naaam,

Ndio maana sikai mbali na Aaliyyah

Mwendo WA kuweka order tuu ya juice ya tende
Juice ya tende tenaπŸ™Œ

Mimi niliacha kunywa hiyo juice tangu Bibi yao aende kuwasiliana Vijana wetu huko Mjini

Juice gani unakunywa, inafanya kazi ya kuamsha vilivyo lala tu 😜
 
Kwa uzee gani ulionao jamani halafu toka nizaliwe sijawahi kukiona kikoπŸ˜€
 
Safi saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…