Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila umeanza. Picha hazifutiki ila umekuja naanza kucheka jamani. Nkamu wako kapotea toka jana. Msabahi, atakuta manyoya ๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…
Atakuwa na ban
Nkamu kwa heka heka za ugomvi hajambo.

Tajiri wa kimataifa ya jf๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Una roho nzuri kama ulivyo wewe mzuri ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Kacoca kanalialia kuona picha
Kapambane na field
Hata mkirudia katapitwa tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee dada madesaa si nilishaacha tokaa mwaka jana August.
Sahivi naburuzwa na Wachinaa huku site, nomaaaaaa
Kupambania tonge kugumuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee dada madesaa si nilishaacha tokaa mwaka jana August.
Sahivi naburuzwa na Wachinaa huku site, nomaaaaaa
Kupambania tonge kugumuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒWasijichanganye watakuta kokoto zimerudishwa zilikotoka ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ