Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,689 Sep 24, 2024 #393,761 Kapeace said: Wanayo hawajakupa tu? Mama mchungaji utaweza kusubiri mida ya wanga?π Click to expand... Sina hamu jana saa 8 tuko macho, tunaomba wafute. Ngoja nireport picha yake ifutwe na mods.
Kapeace said: Wanayo hawajakupa tu? Mama mchungaji utaweza kusubiri mida ya wanga?π Click to expand... Sina hamu jana saa 8 tuko macho, tunaomba wafute. Ngoja nireport picha yake ifutwe na mods.
kikiboxer JF-Expert Member Joined Dec 22, 2017 Posts 3,923 Reaction score 10,478 Sep 24, 2024 #393,762 Bantu Lady said: Nimeifuta. Yako naiona kwa watu wawili waliokuquote kipenzi changu. Tukireport itafutika. Click to expand... Acha kumfundisha mwenzio tabia mbaya ya kufuta futaπ
Bantu Lady said: Nimeifuta. Yako naiona kwa watu wawili waliokuquote kipenzi changu. Tukireport itafutika. Click to expand... Acha kumfundisha mwenzio tabia mbaya ya kufuta futaπ
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,689 Sep 24, 2024 #393,763 kikiboxer said: Acha kumfundisha mwenzio tabia mbaya ya kufuta futaπ Click to expand... Babe yako ile uliiacha? Tunaweka, tunafuta ππππ tunafundishwa na Mwamba Chino. Umeona leo zote zangu zimekupita.
kikiboxer said: Acha kumfundisha mwenzio tabia mbaya ya kufuta futaπ Click to expand... Babe yako ile uliiacha? Tunaweka, tunafuta ππππ tunafundishwa na Mwamba Chino. Umeona leo zote zangu zimekupita.
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,369 Sep 24, 2024 #393,764 Bantu Lady said: Sina hamu jana saa 8 tuko macho, tunaomba wafute. Ngoja nireport picha yake ifutwe na mods. Click to expand... Msaidie aisee mi sikumquote nilimtag nadhani
Bantu Lady said: Sina hamu jana saa 8 tuko macho, tunaomba wafute. Ngoja nireport picha yake ifutwe na mods. Click to expand... Msaidie aisee mi sikumquote nilimtag nadhani
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,300 Sep 24, 2024 #393,765 Bantu Lady said: Nimeifuta. Yako naiona kwa watu wawili waliokuquote kipenzi changu. Tukireport itafutika. Click to expand... Sawa dear
Bantu Lady said: Nimeifuta. Yako naiona kwa watu wawili waliokuquote kipenzi changu. Tukireport itafutika. Click to expand... Sawa dear
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,300 Sep 24, 2024 #393,766 Kapeace said: Wanayo hawajakupa tu? Mama mchungaji utaweza kusubiri mida ya wanga?π Click to expand... Wanipe niiione kabla sijaingia jikoni
Kapeace said: Wanayo hawajakupa tu? Mama mchungaji utaweza kusubiri mida ya wanga?π Click to expand... Wanipe niiione kabla sijaingia jikoni
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,300 Sep 24, 2024 #393,767 Bantu Lady said: Nimeifuta. Yako naiona kwa watu wawili waliokuquote kipenzi changu. Tukireport itafutika. Click to expand... Nisaidie basi au ndo nafanyaje
Bantu Lady said: Nimeifuta. Yako naiona kwa watu wawili waliokuquote kipenzi changu. Tukireport itafutika. Click to expand... Nisaidie basi au ndo nafanyaje
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,369 Sep 24, 2024 #393,768 Kalpana said: Wanipe niiione kabla sijaingia jikoni Click to expand... Wakupe wakupe, raraa au vince
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,689 Sep 24, 2024 #393,769 Kapeace said: Msaidie aisee mi sikumquote nilimtag nadhani Click to expand... Done, tusubiri tuone kama mods watafuta.
Kapeace said: Msaidie aisee mi sikumquote nilimtag nadhani Click to expand... Done, tusubiri tuone kama mods watafuta.
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,369 Sep 24, 2024 #393,770 Kalpana said: Nisaidie basi au ndo nafanyaje Click to expand... Nenda ukareport kwa waliokuquote, hayo ndiyo yaliyotukuta jana mpk kulala saa nane
Kalpana said: Nisaidie basi au ndo nafanyaje Click to expand... Nenda ukareport kwa waliokuquote, hayo ndiyo yaliyotukuta jana mpk kulala saa nane
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,689 Sep 24, 2024 #393,771 Kalpana said: Nisaidie basi au ndo nafanyaje Click to expand... Nimeshareport kwa waliokuquote. Baada ya muda nitazipitia tena kama zipo.
Kalpana said: Nisaidie basi au ndo nafanyaje Click to expand... Nimeshareport kwa waliokuquote. Baada ya muda nitazipitia tena kama zipo.
kikiboxer JF-Expert Member Joined Dec 22, 2017 Posts 3,923 Reaction score 10,478 Sep 24, 2024 #393,772 Bantu Lady said: Babe yako ile uliiacha? Tunaweka, tunafuta ππππ tunafundishwa na Mwamba Chino. Umeona leo zotw zangu zimekupita. Click to expand... Niliifuta Babe! Jf is never that safe,watu wanatabia tofauti na huwezi jua intentions zao lakini as long as picha haziumizi naona hakuna shida.
Bantu Lady said: Babe yako ile uliiacha? Tunaweka, tunafuta ππππ tunafundishwa na Mwamba Chino. Umeona leo zotw zangu zimekupita. Click to expand... Niliifuta Babe! Jf is never that safe,watu wanatabia tofauti na huwezi jua intentions zao lakini as long as picha haziumizi naona hakuna shida.
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,505 Reaction score 8,713 Sep 24, 2024 #393,773 kikiboxer said: Haha naikumbuka hii Pub wakati naishi Kigamboni. Hii ya mbuyuni au ile kama unaenda Kibada? Click to expand... Ndio hiyo hiyo mkuu ya mbuyuni kisiwani opp na afroil Nimekuja mawandoni
kikiboxer said: Haha naikumbuka hii Pub wakati naishi Kigamboni. Hii ya mbuyuni au ile kama unaenda Kibada? Click to expand... Ndio hiyo hiyo mkuu ya mbuyuni kisiwani opp na afroil Nimekuja mawandoni
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,530 Sep 24, 2024 #393,774 Mahondaw said: Wazazi, madaktari na wenye uzoefu hivi hii ni tetekuwanga kweli???? Havimuwashi ila vinamletea mtoto homa anachemka balaa especially usiku Vimemtoka kuanzia kichwani usoni kote kuteremka mwisho kwenye kiuno tu chini hakunaDaktare Naomba mwongozo Click to expand... Umri wake Vina muda gani Kama wapo na wengine wanavyo?
Mahondaw said: Wazazi, madaktari na wenye uzoefu hivi hii ni tetekuwanga kweli???? Havimuwashi ila vinamletea mtoto homa anachemka balaa especially usiku Vimemtoka kuanzia kichwani usoni kote kuteremka mwisho kwenye kiuno tu chini hakunaDaktare Naomba mwongozo Click to expand... Umri wake Vina muda gani Kama wapo na wengine wanavyo?
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,505 Reaction score 8,713 Sep 24, 2024 #393,775 Bantu Lady said: Ipo π π π π π njoo nikufundishe maujanja mrembo. Mwenzako naselfika nitakavyo zinafutika ππππ Click to expand... Hahaha ndio mpaka napitwa Uko vizuri mbantu
Bantu Lady said: Ipo π π π π π njoo nikufundishe maujanja mrembo. Mwenzako naselfika nitakavyo zinafutika ππππ Click to expand... Hahaha ndio mpaka napitwa Uko vizuri mbantu
kikiboxer JF-Expert Member Joined Dec 22, 2017 Posts 3,923 Reaction score 10,478 Sep 24, 2024 #393,776 Kapachino said: Ndio hiyo hiyo mkuu ya mbuyuni kisiwani opp na afroil Nimekuja mawandoni Click to expand... Enjoy mkuu. niliwahi kwenda hapo miaka ya nyuma kabla mpinzani wake hajazinduliwa pale Escrow ndio ikawa kiwanja changu jioni.
Kapachino said: Ndio hiyo hiyo mkuu ya mbuyuni kisiwani opp na afroil Nimekuja mawandoni Click to expand... Enjoy mkuu. niliwahi kwenda hapo miaka ya nyuma kabla mpinzani wake hajazinduliwa pale Escrow ndio ikawa kiwanja changu jioni.
raraa reree JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 11,503 Reaction score 35,687 Sep 24, 2024 #393,777 Aaliyyah said: ππAah wapi Click to expand... Wewe huwezi kujua π
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,369 Sep 24, 2024 #393,778 kikiboxer said: Niliifuta Babe! Jf is never that safe,watu wanatabia tofauti na huwezi jua intentions zao lakini as long as picha haziumizi naona hakuna shida. Click to expand... Chaka la wasiojulikana
kikiboxer said: Niliifuta Babe! Jf is never that safe,watu wanatabia tofauti na huwezi jua intentions zao lakini as long as picha haziumizi naona hakuna shida. Click to expand... Chaka la wasiojulikana
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,505 Reaction score 8,713 Sep 24, 2024 #393,779 kikiboxer said: Enjoy mkuu. niliwahi kwenda hapo miaka ya nyuma kabla mpinzani wake hajazinduliwa pale Escrow ndio ikawa kiwanja changu jioni. Click to expand... Bora ulikimbia mkuu Mtaa huu wa moto sana
kikiboxer said: Enjoy mkuu. niliwahi kwenda hapo miaka ya nyuma kabla mpinzani wake hajazinduliwa pale Escrow ndio ikawa kiwanja changu jioni. Click to expand... Bora ulikimbia mkuu Mtaa huu wa moto sana
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,505 Reaction score 8,713 Sep 24, 2024 #393,780 Kalpana said: Nisaidie basi au ndo nafanyaje Click to expand... Nimefuta pia labda mcheki rara ree ndo bado ipo
Kalpana said: Nisaidie basi au ndo nafanyaje Click to expand... Nimefuta pia labda mcheki rara ree ndo bado ipo