Mi hata haikuwa hivyo, niko form 3 lakini moyo ulikuwa unahusudu wanaume age km za maticha, na ndio hao hao walikuwa wakinimendea zaidi, hao fom 6 bado niliwaona watoto, ndivyo nilivyo mpaka kesho sitegemei kubadilika kwa umri nilionao sasa napenda 43- 52 hapo hapo