Selfika na JF: Snap it. Show it

Mhm wakwetu , hizi mbege za siku hizi sijui wanaweka nini ๐Ÿค” View attachment 3105188
Hii ni mbege kweli?? Mbege ya ndizi au itakua ya miwa?? ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ au wamejaza gongo mpk ika undergo chemical reaction mpya kabisa...unajua mm nikiendaga kule ukweni huwa sinywi kabisa...labda wanipe iliyotoka mbali napo nakunywa kikombe kidogo cha chai... ila hii siwezi gusa..
 
Vitoto vya alfu mbili havijui maana ya kua mchaga๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ