Selfika na JF: Snap it. Show it

Mi si mpenda picha hani wangu utafanya nianze kujifotoa fotoa
Jiphotoe Mamie
Maisha ni hayahaya

Picha ni kumbukumbu.
Kuna siku utarejea na utafurahia kumbukumbu nzuri

Kama sisi tukirejea picha za kipindi Uzi unaanza ,2019 tunafurahi na kukumbuka stori jinsi tunavyofurahi tulikaa kwa upendo kupiga stori hapa.
 
Dunia Ina viumbe hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwanzo nilikuwa hodar sikuhiz nimechoka Yani 50 k naiona km laki 7 🀣🀣🀣
Angalia wasikuuzie fake. Ukipata OG kabisa za Kikorea. Vyote kuanzia cleanser, toner, serum, sunscreen na night cream haipungui 500k wengine inazidi. Kuwa nao makini unaponunua.
Si nimesema nalala πŸ˜‚
 
Angalia wasikuuzie fake. Ukipata OG kabisa za Kikorea. Vyote kuanzia cleanser, toner, serum, sunscreen na night cream haipungui 500k wengine inazidi. Kuwa nao makini unaponunua.
Si nimesema nalala πŸ˜‚
Hebu usilale nitajie kampuni kwanza hata moja naweza Anza hata kimoja au viwili vkoba vipo kwaajili yetu 🀣🀣
 
Kikubwa kujiamini na kujikubali..πŸ˜ƒ
Tatizo wanawake ni kutojiamini baadhi lakini...

Mi ndipo huwa sielewi, kujichubia, kope za kubandika, kalio fake, kifuani kuna bana nyonyo siku hizi unakuwa na maziwa yamesimama, makalio nasikia kuna nguo ukivaa ina kalio la bandia...
 
Kabisa lkn pia ni kuwafurahisha watu wanaowapenda πŸ˜€πŸ˜€

Ila kwenye makalio hapna km hauna hauna tu mkakawatu anajua Kuna nyama anakutana na ugoko 🀣🀣🀣
 
Hiyo bana nyonyo unajiuliza huyu anapumua kweli huyu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Hiyo bana nyonyo unajiuliza huyu anapumua kweli huyu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
Wengine wanaojiweza wanakimbilia Turkey....

Ila ndivyo ilivyo...

Kama wanasema mwanaume vitu anavyotafuta kwenye maisha ni sex, money and power...

Basi kwa mwanamke itakua urembo na pesa...
Kufanyiwa surgery kisa kuongeza kutengeneza shape ni kujitoa mhanga, wengine nasikia wanafariki..
 
Ha ha ha tatizo tunataka twende sawa na hawa GEN z
 
Ha ha ha tatizo tunataka twende sawa na hawa GEN z
Lakini hao Gen Z mnawazidi vingi, wanawake wakifika age flani huwa wanajielewa sana na kuelewa mambo kwa upana, cha ajabu na wanaume jinsi umri unasogea anaanza kuona ngono si kitu pekee kwenye mahusiano kitakachodumisha mahusiano na maisha mazuri. Unahitaji mtu mwenye mindset sahihi...

Akili ya Gen Z na mwanamke mwenye 30 yrs or above ni tofauti...

Mna vitu vingi vya ku offer kuliko sex.. cause umekomaa kiakili kuliko mtoto mwenye 18 or 19 yrs...
Hapo match ni draw...
 
Wewe wasema wenzio huku mtaani wanarudishwa utotoni na kina Gen z
 
Wewe wasema wenzio huku mtaani wanarudishwa utotoni na kina Gen z
Ni katika upande mmoja tu wa mizagamuo.
Kwani ilikuaje Diamond akazaa na Zari, ambae ni single mother mwenye watoto?
Kwani Diamond hakuweza kutafuta hao Gen Z?

Harmonize ilikuaje akadata na single mother mshangazi hadi anamtungia nyimbo na kuhonga magari? Unafikiri alikosa hao Gen Z...

Kikubwa jitunze na ujikubali...

Unaweza kuwa na 30's na mtu akakuelewa mkafanya maisha .. achana na story za jf zisizo na uhalisia , kwenye ground mambo ni tofauti, jitunze na ujiamini. Kwenye suala la kujitunza ndipo kipengele...

Duh! Mbona nimegeuka kuwa motivesheno spika tena...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…