Selfika na JF: Snap it. Show it

Tatizo sichelewi kuimeza, ujue kuna vitu vina mwenyewe, mi kwenye urembo hela yangu inaishiaga kwenye nywele bhana sio wigs ila misuko napenda sana
Mi mwenyewe siwezagi lazima nilambe
Hata mafuta lazima nilambe.


Hebu tuone picha za misuko😍
Tena kichwa chako kimekaa vzr kusuka
Mafundi wa nywele,kichwa Cha kusuka tunakiona tu πŸ”₯πŸ”₯
 
Zako hata usipozipaka mkuu ni nene zinafaa sana
Asante ila nakula ndo tatizo, enzi za skuli nikiwa fom 2 c wale mashindikanaa walikuwa wanaleta πŸ’„ wananipaka halafu nalaza lips kwenye barua za wapenzi wao nilikuwa km zoba eeh basi nawashangaa kweli, hadi wa fom foo walikuwa wanakuja niwasaidie,
 
Huyo member jeuri eti anawapa na mbinu za kumuadabisha mtuhumiwa wakati ni yy mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜Ή

JF watu wamepinda sana.!!
Kuna id ina act humble halafu kwenye nyingine ni fagia fagia hutoamini πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣Walivogundua hawakulia
Hivi huko pm Kuna magroup kabisa ya kusemana mie mbona napwita 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…