Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumekucha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nkamu nilitaka kuaga naona unanivuta niendelee kukaa 😹

Nani anaforce na kuinamisha camera kwani??
Au coca?? Hebu mtaje kwanza
Mimi hapa nkamu
Si umeona avatar nimeforce kulaza cameraπŸ˜‚
Sena bahareee

Kaoge mweee
 
Odo una balaaa mamaahhh 😍😍😍
Nyie kumbe tunaishi na malaika duniani??
kikiboxer shem jishike hilo odo la moto watakuibia aloooh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Lakini Odo jamani Odo mweeh 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 kaone kwanza karembo haka. Nataka mwili kama wako, nitajipunguza mpakaaa
 
Nina vihips ila kwa bantu sitoboi nilitaka niwawekee yangu ila nimeghahiri
Mahi weka kuna wengine wanapenda vihips vya β€œplease call me” πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huyo bl hips zake za bundle la mwaka β€œTandam” hilo lina watu wake..!!
Km kina kikiboxer

Hizo zako za wastaafu slow motion km bata wanafoka ah ah ah 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…