nimekuota unanipigisha story za uongo na ukweli,, halafu hii siyo mara ya kwanza kukuota eti kuna siku niliota tumepatana kwa treni sema nilishindwa tu kukuambia juu wewe huwa hauniamini..

Daah nimeona picha kwenye huu Uzi mdada kavaa suruali nyeusi imembana huko nyuma kafungasha pamejaa rutuba amejaaliwa cha ajabu naingia na scroll mwanzo mwisho sioni Hio picha