Nadhani ni asili au bado kijana mdogo😄
Unanikumbusha kipind fulani niko advance nilikuwa napenda niwe na ndevu ila hazikuwepo ila sikuhizi ni kila week saloon kuzipunguza na katikati ya week napunguza mwenyewe nyumbani.
inawezekana mkuu.mimi wastani wa siku 3 ndevu zinakuwa zimeshaota.
Kichwani naweza kuwa bado hazijarefuka ila ndevu tayari ziko nyingi japo huwa sipendi kuzimaliza zote labda kama nataka kubadili style ya kunyoa ndevu.😄