Sasa mtoto mwenyewe si unaona unywele umegraduate? Hautakiwi kuupaka chochote ili hata kama anazibana ziendelee kuwa laini ?
Najua
Nyani Ngabu yeye mtaalamu wa kufunga udevu, ameuwekea bajet matata, ukimpa mwongozo wa mafuta au chochote kinachohusu matunzo ya nywele za binti, itafaa pia
Shukrani Kwa maelezo mazuri ya awali. Siku njema.