Huyo hapana alisema tu ananipenda. Basi kaunganisha tela. Nina babe mmoja tu. Anajijua Odo, nimecheka hapo kwa Waebrania una maneno Odo π€£π€£π€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£π€£ hili nililijua utalisema tu. Hatupendani. Kila mtu ana wake. Mimi nimekufa nikaoza kwa my babe. Wewe nakuweka kwa dada mkubwa Madame B.