Kwani wanatupia pic wapate mademu?? π€£π€£
Kuna mmoja alikuwa anatupia pics yuko maandishi matatu, (USA) siku ya siku nimemuona kwenye uzi mmoja analalamika mbegu alizopanda shambani kwake mkoa il huko hajizastawi π€£π€£π€£
Anaomba ushauri kwa mabwana kilimo wamsaidie π€£π€£