Si ndo yeyee alimfataaa jamaa fulaani humu, kumuombaa msaada, afu baadae anasema, iwe siri na hakikishaa, cocastic au lammomy hamfikii, wale wabayaa sanaaa
habari zako tunazooo,
Na siku nikitibukaaaa, nawekaa waziii ulivyokua Una mnangaa BL kisa varangati lake na ephen, kuhusu uzii kuunganishwaaa
Hukoo PM tunayooo yoteeeee.