Vincenzo Jr mechi ishaisha njoo bana uniambie ulivyoombwa pesa na pc tajiriiiiii π€£π€£π€£
Ila wewe ngadu una hekaheka sana ujue, ko unaombwa miutajiri yako!!
Nasikia wanakusumbua uwatumie vocha kwenye bday yako had wanalia πΉπΉπΉ
Ahiyiiii nyie mie πππ