Nile nini sasa?๐nimetulia ndani hapa watu wa Hela ya taka & sungu sungu wanagonga mlango nime-mute sitoki
Nikuone bas mshkaji wanguNipo ๐
Kalipe Hela za watu ๐๐Nile nini sasa?๐nimetulia ndani hapa watu wa Hela ya taka & sungu sungu wanagonga mlango nime-mute sitoki
Usitoke ila Sina picha mpya rafikyngNikuone bas mshkaji wangu
Mi hata sielewi hawa wanapatikanaje na hata usiku ukipita huwaoni, hawa hela yao siwalipi shenzi type sana kipindi nipo chuo tulipelekwa kituo Cha police shekilango nikalipa 50k ya fine kisa sijalipa miezi miwiliKalipe Hela za watu ๐๐
Hiv Hao sungusungu wanwekwa na serikali ya Kijiji au mtaa unaweza kuamua kuajiri sungusungu wao
Maana wez wamenichungulia juzi Dah๐
Hata TBT zije tu, Leo nimekuombea ibadaniUsitoke ila Sina picha mpya rafikyng
๐๐Wewe mkorofi kumbeMi hata sielewi hawa wanapatikanaje na hata usiku ukipita huwaoni, hawa hela yao siwalipi shenzi type sana kipindi nipo chuo tulipelekwa kituo Cha police shekilango nikalipa 50k ya fine kisa sijalipa miezi miwili
Ukidakwa utatoa 50k shauri yako, hawa wanaokusanya hela kila baada ya wiki mbili wanakuja wengine๐๐Wewe mkorofi kumbe
Sis hapa tuko wawili mwenzangu Kila wakipita wa taka hayupo nalipia tu na kununua viroba Kila wakat ngoja niwe km wew ๐๐
Kumbe Kuna kupelekwa polis Tena ๐๐Ukidakwa utatoa 50k shauri yako, hawa wanaokusanya hela kila baada ya wiki mbili wanakuja wengine
Kama Kuna sehemu nliwahi kuandika mi ni kataaa ndoa naomba moderator wafute Kuna wadada nlikuwa sijawaona
๐๐๐Aah mbona ghafla katibu wa kataa ndoa wakikuona wenzio watakufukuza kwenye chama ๐คฃ๐คฃKama Kuna sehemu nliwahi kuandika mi ni kataaa ndoa naomba moderator wafute Kuna wadada nlikuwa sijawaona
Subir yakukute ๐๐mi nlikuwa siwezi kuonekana labda jumapili mchana tu wakalia timing nlipewa barua ya mtendaji nlienda kusomea police tulisombwa wanachuo hadi thread zilifunguliwa humuKumbe Kuna kupelekwa polis Tena ๐๐
Hatar sana kwakweli sehemu naziogopa ni polis Kuna rafikyngu aliibiwa nikamsindikiza wee nilitetemeka hayo maelezo Sasa ๐๐๐Subir yakukute ๐๐mi nlikuwa siwezi kuonekana labda jumapili mchana tu wakalia timing nlipewa barua ya mtendaji nlienda kusomea police tulisombwa wanachuo hadi thread zilifunguliwa humu
Unafkiri ukikutana na mtoto full package utaacha?๐ unarudisha kadi๐๐๐Aah mbona ghafla katibu wa kataa ndoa wakikuona wenzio watakufukuza kwenye chama ๐คฃ๐คฃ
Hivi wadada wanawekwaga lockup? Sijawahi ona nyie mnahojiwa kidogo tu mnasepa!Hatar sana kwakweli sehemu naziogopa ni polis Kuna rafikyngu aliibiwa nikamsindikiza wee nilitetemeka hayo maelezo Sasa ๐๐๐
๐๐Pole sanaHivi wadada wanawekwaga lockup? Sijawahi ona nyie mnahojiwa kidogo tu mnasepa!
Mwanzon wa mwaka huu nliingia lockup kama masaaa manne๐yaan mpaka natoka nlikuwa siamini kama ni mimi ndo nlikuwa mule.....nlichekwa
Picha linaanza muda hauendi, Kuna ile hofu nsipotoka Leo itakuaje & njaa๐๐Pole sana
Wadada wanawekwa mbona inategemea na kosa
Ulikutana na wabishi wenzio๐
๐๐๐Ungekaa siku mbili ungepungua kilo 7Picha linaanza muda hauendi, Kuna ile hofu nsipotoka Leo itakuaje & njaa
Mpaka kesho kwenye kampan ikizungumziwa mambo ya police lazima tucheke kidogo
Masaa 4 tu nsi-surrender nkaita mama Moja pale msimbazi yuko powa nikampanga vzr simu zikapigwa nikatoka๐๐๐Ungekaa siku mbili ungepungua kilo 7