G
ππππAnajisifu na pesa fake π€£ππ kanichekesha sana hadi sukari yake imepanda kajaa mbio mbio
Hahaaaaaa kijana wako ni mwepesi sana kutapeliwa.Hadi kijana wangu min -me alishawishika na dollar za adobe Jana ππππ
ππ€£πππππππππ Vijana Hawa πππππππ Cc mshamba_mwingineππππ
Mchawi mstaafu umeenda Kanisani? Usiache kwenda kanisani.
ππ€£ππHahaaaaaa kijana wako ni mwepesi sana kutapeliwa.
Huyo mtinda nyuzi mshamba_mwingine ndio maamuma kabisa.ππ€£πππππππππ Vijana Hawa πππππππ Cc mshamba_mwingine
ππππ Kabisa hadi ya adobe na cupcut naunga mkono hojaDollar π΅ ni Dollar tu mkuuπ
Sure mkuu.ππππ Kabisa hadi ya adobe na cupcut naunga mkono hoja
Karibu baadae kumuona dubeSure mkuu.
Hahhahaha sawa mkuu .Karibu baadae kumuona dube
Mkwe! Umeshaoa?π€
Boss alikuwa kausha damuNkamu wee kiboko.!!
Fanya urudi basi
Kkoo bado unaidai πΉ
Nimeachwa mkwe,Mkwe! Umeshaoa?π€
Hata km wewe ni mjinga basi jaribu kuficha ujinga wako unaonekana kituko na mshambaAcha janja janja kijana hakuna dollar hapo πππ€£ππππ€£ππ€£ππ€£ππππ dollar sio nyeupe hivyo π€£ππππππππππππππ hii imekuuma hadi sukari imekupanda ushahidi huu hapa picha credit by Google dollar haiwi nyeupe hiyo yako embu tuone mhuri wakeView attachment 3060929