Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukaona unishitukize umefurahi mwenyewe,, sauti ya kitoto mimi au wewe?? Kwamba haujalisikia lile bass eti?? Wewe ndiyo ulikuwa unaongea kama unaongea na shemeji yangu bhana ah!!
Na ulivyo na kisauti cha kitoto ...Jizazi [emoji3][emoji3]

Nasikiaga raha kuwapigia watu Na namba ngeni ambazo najua fika hawana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…