Inkotanyi 94
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,244
- 4,030
😂😂😂😂Hapo unachelewaje kurudi nyumban kwa mfano!
Hakuna mambo ya kujipitishapitisha bar unakimbia mifupa isikuchome.
Na hivi wanawake wanene hawanaga visiran!
Asante
Siku hizi likea zimepunguaMmmmmmh lady fel![]()
Nimekupa hiyoSiku hizi likea zimepungua
Hongera kwako Mkuu!☺️Leo niko hapa nikimsapoti katoto kangu ka mwaka 2000, lazima nihakikishe kanafika miss tanzania. The wolf in love 😍😍
Ndio yuko wapi hapo ktk hao ? Katoto kako kwa maana ka bebi ?Leo niko hapa nikimsapoti katoto kangu ka mwaka 2000, lazima nihakikishe kanafika miss tanzania. The wolf in love 😍😍
Nipe namba yakeLeo niko hapa nikimsapoti katoto kangu ka mwaka 2000, lazima nihakikishe kanafika miss tanzania. The wolf in love 😍😍
Sis mambo yako yako level nyingine kabessaaaa sikuhizi.
Asante ccySis mambo yako yako level nyingine kabessaaaa sikuhizi.
Uko 🔥🔥🔥🔥🔥
Nougaaa sanaa 😍😍😍
Geuka kwa nyuma tuone
Yaani hawa ndio Mamisi au nipunguze konyagi Macho yananidanganyaLeo niko hapa nikimsapoti katoto kangu ka mwaka 2000, lazima nihakikishe kanafika miss tanzania. The wolf in love 😍😍
😅😅 Hebu vaa miwani yako Mkuu uone vizuriYaani hawa ndio Mamisi au nipunguze konyagi Macho yananidanganya