mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,082
- 4,235
Wote tutakufacardiac arrest inatisha lakini😅
Hapo unakunywa huku umekunja usoView attachment 3046206Furahi day🥂
Huku natabasam mkuu😅Hapo unakunywa huku umekunja uso
Acha nilinde maini yangu mieHuku natabasam mkuu😅
Unataka kwenda nayo mbinguni yakiwa salama kabisa?Acha nilinde maini yangu mie
Yeah! Sitaki yawe meusi kwa kukaangwaUnataka kwenda nayo mbinguni yakiwa salama kabisa?
Umeashau mbinguni tutapewa mwili mpya eehYeah! Sitaki yawe meusi kwa kukaangwa
unalinda maini tu, moyo aaah😅Acha nilinde maini yangu mie
Ukifanya mistake humu mods wanipige ban Kwa niaba yako
Sitaki kuuguza maini, sitaki mnichangie michango ya matibabu😉Umeashau mbinguni tutapewa mwili mpya eeh
😎😍😍 Picha nzuri sana hii dada yangu
Hadi mimiKweli watu tunatofautiana
Mimi sipendiiii wembamba😂 ooooh
Hadi mimiKweli watu tunatofautiana
Mimi sipendiiii wembamba😂 ooooh
Napenda nyama AiseeHadi mimi