Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,211
Hiyo supu au mchuzi? Mbona sioni nyama nyamaSupu za daslamu πππView attachment 3039385
Ipo Moja zoomHiyo supu au mchuzi? Mbona sioni nyama nyama
Ni bei gani?Ipo Moja zoom
Buku tuNi bei gani?
Selfika Wacha maneno amigo nione hata zigo hiloo au weka Ile PC yako ya milioni 4 basiSema nini wewe kaza ipo siku utafika pariii kweli πΉπΉπΉ
Halafu jikubali na kucheza na wadada uache
Kuna mwenzio uko kanionyesha vitu vya ajabu pm, haya na wewe unataka kunionyesha nini?? πΉπΉπΉNimeku PM,
Mi nataka tu nikuonyeshe mie ni nani?
Hapo sawa! Hela imeendana na supuBuku tu
Ma Nini astaghafirullah π³Hapo sawa! Hela imeendana na supu
Ila ungekua kwetu uswahilini buku unapata supu imejaa nyama, unachagua mapupu, bandama, ubongo, masikio, nyama ya pua au mapumbuπ
Si ulini ignore wewe kumbe unajitekenya na kucheka mwenyewe πΉπΉπΉSelfika Wacha maneno amigo nione hata zigo hiloo au weka Ile PC yako ya milioni 4 basi
Ongea na watu vizuri!πMa Nini astaghafirullah π³
πππ Hapana uku quote naona notification hapa tapa talk sijawahi ignore mtu naachaga sijibu embu selfika basi super star wa jfSi ulini ignore wewe kumbe unajitekenya na kucheka mwenyewe πΉπΉπΉ
Niliwaambia nyie mnanifatilia sana.!!
Weka hiyo PC mimi sikumbuki nishasahau
Na wewe Leo selfika basi πOngea na watu vizuri!π
Siku ile siulinicheka wewe?Na wewe Leo selfika basi π
Watu tunakula hadi vikundu vya kuku na bataπππKhe
Kunasehemu napitaga kwendasokoni mishikak inanukia balaa watu kibao
Nikasema ngoja Leo nam nipite
Mwee nakuta pumbu za mbuzi hae hae kwenye moto watu wanachagua ππππ
Hapana mbona Mimi ni mdau wa wawapenda watu wanene watamu sana nyie Mimi nili reaction love kabisaSiku ile siulinicheka wewe?
Mnakula vitu vya ajabu aiseeWatu tunakula hadi vikundu vya kuku na bata
Basi tulia hapahapa nitaselfika na tight yanguHapana mbona Mimi ni mdau wa wawapenda watu wanene watamu sana nyie Mimi nili reaction love kabisa