raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,866
- 36,991
Kiganja tena au kichwa πSikuhizi sipigi sana Ngoja nikishusha hili bando!
Haya Do the needful asubuhi yangu iende vizure
Ni kweli lakini Kuna kazi ukifanya ngwengwe hutaipata kwa upeku hata kwa kuchoma na kitu chenye ncha Kali kwa lazima .Hahaha.........pole Mkuu
Ninyi kama Vijana mnatakiwa kuongeza umakini, msikubali kucheza peku unless huyo mtu mmepima naye mara kadhaa pamoja
Taifa bado linawahitaji Kwa maendeleo πͺ
Madam samalekooo!!πHongera sana
Saii Tupia Kiwiliwiliii yani mwili wakoπ!Kiganja tena au kichwa π
Unataka mwili wangu kabisa πSaii Tupia Kiwiliwiliii yani mwili wakoπ!
Weeeee sitaki mwili wako mieee niupeleke wapiiiiiii !Nataka uselfikeee! Jana ulikua ushaweka vitu kichwani ukatubless leo umeanza mbambambaa acha hizoooUnataka mwili wangu kabisa π
Waleykum SalamMadam samalekooo!!π
Naomba uibless asubuhi yangu jamaneee kitambo sana nimemiss lipppppssssss nono na tramuuuu! π
Ewaaaaaaaaa mambo si ndo hayaa niko hapa standby sio raraa reree mswahili swahili tu maneno mengii πWaleykum Salam
Tulia hapohapo
Nougaaa sanaa Ajattttt unajistiri hadi rahaaaaaaπ₯π₯π₯π₯ππππππππ!
TuliaπππNakufahamu π
Kazi zipi Mkuu ambazo ukifanya ngono peku hupati HIV/AIDS?Ni kweli lakini Kuna kazi ukifanya ngwengwe hutaipata kwa upeku hata kwa kuchoma na kitu chenye ncha Kali kwa lazima .
PEP vimekuwq vidonge vyetu ,waheshimiwa wizara ya afya na wizara ya ulinzi najua mnaelewa naongea Nini tafadhali msaada wa vifaa ni muhimu mno na sisi tuna familia na pia tuna wapenzi wanatupenda Ila njaa na uzalendo vimetuweka kwenye hizo shughuli .
ππAsante sana madamNougaaa sanaa Ajattttt unajistiri hadi rahaaaaaaπ₯π₯π₯π₯ππππππππ!
Hakika asubuhi yangu inaenda kuwa bareeeeeda kabesaaa
Santo sana
Natulia. Nitakushangaza π€£Tuliaπππ
Washauri wa afyaKazi zipi Mkuu ambazo ukifanya ngono peku hupati HIV/AIDS?
Kupekua maambuzi ni kutokuwa na Wapenzi wengi/kutokufanya ngono zembe n.k
Ukipita home njoo ule ugali ππNatulia. Nitakushangaza π€£
π€£π€£π€£π€£Ukipita home njoo ule ugali ππ
Wazee lazima tuwe washauriWashauri wa afya