Weee hapo ndo unakwama sanaaaaa kuutendea uzi hakiiiii mr likesUnazingua ๐๐๐๐๐
Ila kua na moyo ccy ukienda kufungua baloo mwenyewe eeeh unakohoa eeeeeeh kuna harufu fulani hivi plus vumbiInapendeza sana sis naonaga ma boutique kwa status ni motroo balaaa! Biashara njema sis! Ukipata wateja zinalipa sana
Naelewa vizuriiii sema ukifungua ukachambua na kuchangia mwenyewe ndio vizuri unachukua vitu vyaukweli kuliko kubeba tu baloo Zima bila kuchambua unaeza kutana na maronyaronya tupu ukabaki nhiiiiiiiiiiiii ๐ค !Ila kua na moyo ccy ukienda kufungua baloo mwenyewe eeeh unakohoa eeeeeeh kuna harufu fulani hivi plus vumbi
View attachment 2983685
Angalia huo mkono ccy eeeh yani nimenenepa hadi natisha ccy
Yani ana Mwili mzuri hata akinenepa ananoga balaaa!!Mwili mzuri kabisa huo unasema unataka kukonda?
Na mimi mwenye kg 100 nisemaje๐
Tatizo wewe nyama zimekaa chiniYani ana Mwili mzuri hata akinenepa ananoga balaaa!!
Mie nashukuru juzi nilipima kilo saivi nafuu hakyanani sio kwa Mwili ule nikitembea hatua mbili nilikua nahema kama nimepanda milima๐!
TwenzetuTwenzetu twenzetu tukapige urado,
Alafu lalalaaaa twende zetu club,
Twende tukacheki wachumba,
Alafu lalalaaaaaa na yule dem bomba
Sikiliza kwanza we mshamba_hachekwi
Nikueleze mambo yenyewe,
Tumpitie kwanza shemeji ako Poker
Ambae mim ni mchumba angu
Yupo kule kwenye pool table
Alafu lalalalaaaaaaah.
Kabisa ccy maronyaronya eeeh ni kilio ccyNaelewa vizuriiii sema ukifungua ukachambua na kuchangia mwenyewe ndio vizuri unachukua vitu vyaukweli kuliko kubeba tu baloo Zima bila kuchambua unaeza kutana na maronyaronya tupu ukabaki nhiiiiiiiiiiiii ๐ค !
Jesussssssss em nitumie picha nione mnipe moyo๐๐๐Mwili mzuri kabisa huo unasema unataka kukonda?
Na mimi mwenye kg 100 nisemaje๐
Twenzetu
Bills on me
Ningetuma picha ila naogopa mtaota sio kwa unene huu kama love wa juakaliJesussssssss em nitumie picha nione mnipe moyo๐๐๐
Hapana bn tuma tu mamieNingetuma picha ila naogopa mtaota sio kwa unene huu kama love wa juakali
Komando, sisi komandoNyie watoto wa elfu mbili hamjui hizi songiiiii
Usinicheke๐Hapana bn tuma tu mama
Tako hilo hapo, umepangika vzuri kabisa Mamie.View attachment 2983848Usinicheke๐
Chai.View attachment 2983848Usinicheke๐
Mama AminaaaaaaaaaaaaahKomando, sisi komando
Waambie sisi ndo vipensi komando....
Huyu sio wewe ukituma yako itapendeza zaidi. Maana tukituma sisi pic yako tutalimwa ban. Haya selfika sasa ephen_View attachment 2983848Usinicheke๐