Selfika na JF: Snap it. Show it

Zaburi 24:1
Dunia na vyote viijavyo ni Mali ya Bwana...
Saint Anne Leo nimeamka nikaona haya maua yameota nje kwangu yakanivutia nikasema ngoja niitengeneze home made fresh deco,see the beuty, Dar pazuri bwana😍....
 

Attachments

  • IMG_20240428_094614_187.jpg
    425.5 KB · Views: 7
Hiyo ndio maana halisi ya ukizaliwa mjini ni degree😂😂😂Safi sana Napenda sana watu mnaojiongeza kama wewe
Hahahahaha sasa na yeye ajiongeze basi arudi tena afanye kasahau kitu , aaagh ..maana mangi analipa kwa namba hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…