Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,312
- 95,661
Walau weekend itaenda bienWasalaam.....🥴
View attachment 2975393
Kajiharibu.Jamani Tanasha...hii ndo nini sasa..hilo domo kama umeng'atwa na nyukiView attachment 2975535
Sanaa yani alikua mrembo mnoo..Kajiharibu.
Laana kweli. Alikua na kasura kama kapipi, sijui wanakuaga na shida gani hawa ama ndio wana hela nyingi hawajui wazifanyie niniSanaa yani alikua mrembo mnoo..
umaarufu itakua ni kama laana...
Nadhani huwa wanaingiwa na pepo sio bure..wanajiona hawakamilika mpka wafanye kitu fulani...Laana kweli. Alikua na kasura kama kapipi, sijui wanakuaga na shida gani hawa ama ndio wana hela nyingi hawajui wazifanyie nini
😅😅😅Walau weekend itaenda bien
Hahahahaha...safi sana
Hivi unanifanishaga na nani rafiki🤣?Hahahahaha..nilitegemea hili jibu ..kuna aina ya majibu au ujibujibu huwa unafanana sana
Vitunguu vinamaanishaje?unapika?Najigawa vipi..?
View attachment 2975578
Zaidi ya kupika mkuuVitunguu vinamaanishaje?unapika?
OkayZaidi ya kupika mkuu
Hahahahaha,Rafiki huwa kuna mtu nakufanananisha sanaHivi unanifanishaga na nani rafiki🤣?
😂Basi ukimuona sehemu nistue Kiana,Hahahahaha,Rafiki huwa kuna mtu nakufanananisha sana
Hahahahahaha..mbaya yeye akiwepo wewe haupo..wewe ukiwepo yeye hayupo 😂😂Basi ukimuona sehemu nistue Kiana,
Ili nione akili zangu zinafananaje fananaje😁Hahahahaha,Rafiki huwa kuna mtu nakufanananisha sana
Hahahahaha..Ili nione akili zangu zinafananaje fananaje😁