Usiombee upate mgeni kutoka huko!
Unamtengea wali hata hotpot nzima anamaliza hlf baada ya nusu saa anakuuliza 'leo hatukuli' ukimwambia si wali tayari anajibu 'Siwezi kulala na njaa'
Watu wa kule ugali ndo wanaona chakula vyakula vingine ni kama starters