Hahaha........you have said it all π€Mavi ya kale hayanukiπ€ π€ π€ π€ π€ π!
Kabiiiiiiiiiisa babu vya kale vitunzwe na kuthaminiwa sanaaa
Ngoja sisi sasa nguo zetu hahahhahahahaWanawake Waislamu wengi wanavaa kwa staraa sana I like that.
Santo sana granpa!Hahaha........you have said it all π€
π€ π€ π€ πππ!Ngoja sisi sasa nguo zetu hahahhahahaha
Najua umeshafuturu kama Mimi, so cheers π₯Santo sana granpa!
Sasa unakua na husband anakushawishi venye uvae vimini au skin jinzi unaachaje sasa na yy ndo mmliki... π πππ€ π€ π€ πππ!
Sie wengine shetani akasomeπ€ !
Wakaka Hawa Hawa wa kataa ndoa au Kuna balo jipya dada πππYani ww ni mpolee jamani...nashangaa wakaka wa JF wanachelewa haha wanione mimi kama dada mkuu nimalize jambo..yani ka sura kaupolee rangi ya mtume..π₯°π₯°π₯°π₯°
Granp Selfika nataka nikapike hebu uibles Jioni yetu kwanza pulllllllliiiiiiiiizzzzz !!!π₯
Sio kweli bhana mbona mnavaa vizuri tuπ€ π€ π€ πππ!
Sie wengine shetani akasomeπ€ !
Wapo humu humu mbonaaa...sema ni wale wakimyaaa wanacomment mara moja moja sana...hahahahaWakaka Hawa Hawa wa kataa ndoa au Kuna balo jipya dada πππ
Sis unajua kulenga kwenye mshono wewe hahahaha. Wengine wenyewe mida mingine ndio wanatununulia zahivo tunavaa hakuna namna . Anything for him aseee!Sasa unakua na husband anakushawishi venye uvae vimini au skin jinzi unaachaje sasa na yy ndo mmliki... π ππ
Kabisa kabisa sis wala sio uongo hakuna namna..Sis unajua kulenga kwenye mshono wewe hahahaha. Wengine wenyewe mida mingine ndio wanatununulia zahivo tunavaa hakuna namna . Anything for him aseee!
Mungu anakuona ujue ππππ€ !Sio kweli bhana mbona mnavaa vizuri tu
I wish, I could have Camera W/man over here π πGranp Selfika nataka nikapike hebu uibles Jioni yetu kwanza pulllllllliiiiiiiiizzzzz !!!
Wee babu siasa umeanza lini??? Najua Umenidindia kunibless tu babuuu! Basi Wacha nisubirie hio keshoo granp!I wish, I could have Camera W/man over here π π
Kesho nitaomba Bibi yenu anifotoe Moja
Hadi niiediti maana Vijana waligomea kabisa Umri wa Babu yenu hapa πWee babu siasa umeanza lini??? Najua Umenidindia kunibless tu babuuu! Basi Wacha nisubirie hio keshoo granp!
Huku ungeenjoy watu hawafatilian kabisaMungu anakuona ujue ππππ€ !
Mi saivi Huku niliko kumenishape fulani. Yani kipindi nimeajiriwa walikua wananishangaa sana . Na akili zangu mbili nungekua dar nahisi ningechizi mimi make napenda vinguo vyahovyo mnooo yani!
Habu nipe huyo mmoja mkimya nijaribu labda mtakunywa chai ya tangawiz na maandazi πππWapo humu humu mbonaaa...sema ni wale wakimyaaa wanacomment mara moja moja sana...hahahaha
π₯° π₯° ππππ€£π€£π€£π€£π€£Habu nipe huyo mmoja mkimya nijaribu labda mtakunywa chai ya tangawiz na maandazi πππ
Ngoja nikuletee mwenyewe, nilikuwa navyo viwili ππππ