Kweli ametuweza, ngoja nimwambie Bibi yenu akupe ile dawa ya Mapacha.Kasema Hadi nizae watoto 2 alafu ndo nianze kudai๐๐
Mi ni mkulima sana babu. Bibi alitulea na kutufundisha vizuri . Nimemmiso msamilie sana ( In Jr voice)Kumbe Mjukuu unajua kulima?
Kweli Bibi yenu alifanya kazi nzuri kuwafundisha ๐ค
Nitafurahi navowatamani Hao twinsKweli ametuweza, ngoja nimwambie Bibi yenu akupe ile dawa ya Mapacha.
Ukitumia tu imoo Mapacha ๐ค
Mkuu hongera umejua kuitunza hiyo ndinga ๐๐Uzee huooo.View attachment 2940215
Mr likes samalekooo . Karibu tung'oe ng'oe vinyasi shambani asee!๐ง๐ง๐ง
Sio yangu mkuu ila napenda sana kujifanya old skuli.Mkuu hongera umejua kuitunza hiyo ndinga ๐๐
Ndagha fijo Nkamu ๐Yani uko very natural..yani ww ni wa kienyeji kabisa..huna mikogo ya kujifanya wa ushuani..i like it...
Ulinunu fijo....
Nilidhani baada ya kwenda huko Mjini ndiyo ungesahau jembe ๐Mi ni mkulima sana babu. Bibi alitulea na kutufundisha vizuri . Nimemmiso msamilie sana ( In Jr voice)
Mnavoupakazia uzee sasa ukiwafikia mbona wenyewe hamtautamani !Uzee huooo.View attachment 2940215
Kaswiti switii..pendeza sana mamito
Hahaha....... hongera Mkuu, wanasema vya kale Dhahabu ๐คSio yangu mkuu ila napenda sana kujifanya old skuli.
Chips zege mara mojamoja๐Ushindwe mwenyewe kunenepa
Mwanamke lipssss ๐๐!
Asante dearKaswiti switii..pendeza sana mamito
Katika stara
๐Asante sana lips ndani ya lipgloss ya buku ๐๐Mwanamke lipssss ๐๐!
Uko bomba ajjatt ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Mavi ya kale hayanuki๐ค ๐ค ๐ค ๐ค ๐ค ๐!Hahaha....... hongera Mkuu, wanasema vya kale Dhahabu ๐ค
Ngoja nimwambie akuletee ili utimize Kiu yakoNitafurahi navowatamani Hao twins
Yani ww ni mpolee jamani...nashangaa wakaka wa JF wanachelewa haha wanione mimi kama dada mkuu nimalize jambo..yani ka sura kaupolee rangi ya mtume..๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
Wanawake Waislamu wengi wanavaa kwa staraa sana I like that.Kaswiti switii..pendeza sana mamito
Katika stara
Kweli yani ndo maana una ka mwil kazuri potabooo..au ushanenepa? Maana nilikuona humu selfika long tym sanaChips zege mara mojamoja๐