Hivi yule mwanaume yuko hai kweli mwenza?Mke mwenza [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Mume wetu anaweweseka uko alipo, sio kwa u hair huo na karangi ka dubai awwwww [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Naselfika ww njoo tumrushe roho mume wetu hapa.!!
Umewapa watu mshituko mkubwaaPole sana boss, nimefurahi kukuona Tena maana nlijua ndio tushakusahau mazima 🤣
🙄Kumbe kuna kulana tena?🏃🏃🏃
🤣🤣🤣 kajifanya hajui 🤓
Heshima yako chief
Unataka kunisababishia taraka wewe🤣🤣🤣🤣Sio kwamba kajifanya hajui amehofia shemeji yetu cocastic asimfikirie vibaya
Achaneni na haya mambo ya kulana yanaleta wivu humu na ndiyo maugomvi yanatokea huko🤣🤣🤣 kajifanya hajui 🤓
Mi sina shida,si napita tu😜...penzi la sikumoja haliui jamani🤣🤣Sasa coca ni modo nawewe ni buffalo huoni unataka kumua huyo kaka yangu
Kaka tunamselfikia nani wakati saivi typo kama mayatima.Achaneni na haya mambo ya kulana yanaleta wivu humu na ndiyo maugomvi yanatokea huko
Ebu mselfike tafadhali
Sawa nimekuelewa kipenzi....baini✋🏽Achaneni na haya mambo ya kulana yanaleta wivu humu na ndiyo maugomvi yanatokea huko
Ebu mselfike tafadhali
Na hatuachaniiiiMi sina shida,si napita tu😜...penzi la sikumoja haliui jamani🤣🤣
Embu post basi huo mshepu wako ewe mrembo kutoka mbeya Nina zawadi yako hapa.Mi sina shida,si napita tu😜...penzi la sikumoja haliui jamani🤣🤣
Jiandae kwa mpambano tuu😂😂😂😂😂 wee,usiniambie?! ....,hii ilikuwa kimyakimya wewe umekuja kuharibu sasa🙄 ndugu wa cocastic wataniua kwa maneno mwenzio jamani😒☹️