"Kumpa ushindi mtu anayetaka kushindana ni ushindi pia "
Dada To yeye umenitoa pangoni ila hilo neno umelisema muda muafaka wakati nahangaika na viumbe wanaitwa binadamu .
Njoo tufurahi hapa central tupate walau chai dada mkubwa